FLIRTY FREESTYLE Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
FLIRTY FREESTYLE - EL CARTEL 4760
...
What's Popping
"Hook*
Phone inaring nani baby nani ata pick
Game iko on kumbe alkua ni chick
Akianani alisema kucheat ni zii
Vile naflirt na Njeri uezi nipata na key
Kiss and Tell . mchezo ni zii
Phone inaring nani baby nani ata pick
Game iko on kumbe alkua ni chick
Akianani alisema kucheat ni zii
Vile naflirt na Njeri uezi nipata na key
Kiss and Tell . mchezo ni zii
*Verse*
Nakuanga madawa ka KEMSA
Jana nlidhani Subaru ni Tesla
Sema kushika nkasema ni pesa
Jana ni Njeri kesho ni Tesla
Mzinga napiga na chesa
Juu nina ganji nataka kusepa aah
Me uskia aah me uskia eeh
Kwani uko shule na daily uko mechi
Manzi anataka kucheza na d*ki
Bado mangware nifike kwa pedi
Lakini anataka tushinde kwa bedi
Aii bunda kidogo unajua sipendi
Wangu ana bunda na bado maje egi yooh
Wangu ana bunda na bado maje egi yooh
Me uskia aah me uskia eeh
Kwani uko shule na daily uko mechi
Manzi anataka kucheza na d*ki
Bado mangware nifike kwa pedi
Lakini anataka tushinde kwa bedi
Aii bunda kidogo unajua sipendi
Wangu ana bunda na bado maje egi yooh
Wangu ana bunda na bado maje egi yooh
Phone inaring nani baby nani ata pick
Game iko on kumbe alkua ni chick
Akianani alisema kucheat ni zii
Vile naflirt na Njeri uezi nipata na key
Kiss and Tell . mchezo ni zii
Phone inaring nani baby nani ata pick
Game iko on kumbe alkua ni chick
Akianani alisema kucheat ni zii
Vile naflirt na Njeri uezi nipata na key
Kiss and Tell . mchezo ni zii
Kiss and Tell . Mchezo ni zii