![Kiumbe Kipya](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/19/bb3c9f251d0445bcbc5946eb00358bf7H3000W3000_464_464.jpg)
Kiumbe Kipya Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
WuodOmollo
Ni yule mwizi
Yule mlevi
Ndivyo walivyosema
Waliponiona nikirudi nyumbani
Ni siku nyingi
Tangu niende
Mama alinitorosha
Wasinimalize
Ficheni vitu
Iteni chifu
Na Watoto wenu
Wakanye wasiungane naye
Siwalaumu
Mimi niliwatesa
Naomba tu nafasi
Niulize swali moja
Huyo ni nani mwaongelea
Vitu nilivyofanya kitambo
Sifanyi tena
Yesu Ameniokoa
Unaye muona hapa
Ni kiumbe kipya
Huyo ni nani mwaongelea
Vitu nilivyofanya kitambo
Sifanyi tena
Yesu Ameniokoa
Unaye muona hapa
Ni kiumbe kipya
Hakuna kitu
Hawezi fanya
Ni jambo gani
Limewashinda mpaka madakitari
Yesu mshindi
Tena jemedari
Mishale ya muovu
Haitakumaliza
Kama ni mimi
Ninahubiri
Namuimbia
Nakusifu Hosanna Hallelujah
Pia wewe
Njoo uokolewe
Nawe siku moja
Upate kuwauliza
Huyo ni nani mwaongelea
Vitu nilivyofanya kitambo
Sifanyi tena
Yesu Ameniokoa
Unaye muona hapa
Ni kiumbe kipya
Huyo ni nani mwaongelea
Vitu nilivyofanya kitambo
Sifanyi tena
Yesu Ameniokoa
Unaye muona hapa
Ni kiumbe kipya
Aokoa
Aokoa
Aokoa
Yesu
Yesu Aokoa
Asafisha
Asafisha
Asafisha
Yesu
Yeye Asafisha
Aokoa
Aokoa
Aokoa
Yesu
Yeye Aokoa
Asafisha
Asafisha
Asafisha
Yesu
Yeye Asafisha