![One by One](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0B/58/8E/rBEeM1159l-AZOQdAAC40txYmy4888.jpg)
One by One Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
One by One - Manolo (KE)
...
One by One
Naangalia shida zangu zote
nauliza ka wamjua Yesu
ama ni kumskia tu, ni kumskia tu ×2
Ju Ye,
atatua.. one by one
...
It's been a while now tangu ni bless the mic but imebidi nirudi na Mr. Majik Mike
'kwani jina ni Manolo?'
'yes it is, wacha niadd that muziki bado positive.'
Na naileta, giza baleta,
Tangu 5 stones Baba bado naleta
Hizi shida hazijui my God is greater
Na Yesu wangu vile anameremeta..
So every time on my knees I pray
You give me strength for another day
Without You I don't see any other way, a waay ×2
Naangalia shida zangu zote
Nauliza ka wamjua Yesu,
Ama ni kumskia tu, ni kumskia tu ×2
Ju Yeye
atatua one by one
...
Basi anatatua, one by one
Anazifinish-a finish-a
token, one by one
kazi yangu ni kumtafuta day by day
coz I know nikiwa naye I'll be a-okey
vitu zinaweza kuwa mbaya sai
but trust that kesho zitakuwa better
kuwa mkristo haimaanishi hutakuwa
na shida, inamaanisha
hutakuwa peke yako kwa shida
Every time on my knees I pray
You give me strength for another day
without You I don't see any other way, a waay ×2
Naangalia shida zangu zote
nauliza ka wamjua Yesu,
ama ni kumskia tu, ni kumskia tu ×2
Juu Ye,
atatua one by one
...