
Shitaka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Shitaka - Gift Mwanga
...
Shitaka langu nalileta mbele zako Mungu wangu!
Sinapengine pakusema
Nasemea kwako baba…
Kwenye mahakama za dunia
(Wamenitupaaaaaa)
Sinapengine pakusema
Nasemea kwako baba
Maana nazijua hukumu zako
(Nazijua hukumu zako)
Hujawahi pendelea…
(Hujawahi pendelea)
Nazijua hukumu zako
(Nazijua hukumu zako)
Mtenda haki pekee wewe
(Hujawahi pendelea)
Ooooh ooooh siogopi siogopi
Wewe ni mkuuu kuliko tatizo langu…x2
Ulinzi wako ni mkuu zaidi ya duniaaa
Ooooh nimebaki nawe wee
Baaaaba mtetezi wangu..x2
Oooh nimebaki na we we
Baaaba falaja yangux2
Wengine wangetuonea,,,
Usinge tupigania,,,
Maana hatima yetu unayo wewe
Dunia ili tuhukumu…
Na haki ikapotea…
Ila we Yesu umerejesha tenaa
Shitaka lile nisingewezaa
Shitaka lile walilitupa
Maumivu yale yalinichosha
Sauti yako ya upole
Imenitia nguvu tena
Umesimama upande wangu
Yesu weee Yesu weeeX2
Oooh siogopi siogopi
Wewe ni mkuu kuliko tatizo langu
Oooh siogopi siogopi
Ulinzi wako ni mkuu zaidi ya Dunia
Oooh nimebaki nawe we
Baaba mtetezi wangu
Oooh nimebaki nawe we
Baaba falaja yanguuX2
…..
By Rachel