![Nipekeche](https://source.boomplaymusic.com/group2/M15/B0/CB/rBEeNF4y0p-AWGbGAACmovN9MGQ107.jpg)
Nipekeche Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nipekeche - Adasa (KE)
...
Nakuita beb Kwako ni mimi kwengine siwezi Sisemi mengi Nabaki bubu mwishowe crazy Nikikuona sishikiki eeh Nabaki zuge nawe Hata kukula mi nakula nawee beb niamini
Sababu si uchizibu ni kupendwa nimependwa nawe
Na mamangu akuniuliza tu am gonna tell her why I love you bu Baba achikumala na ambea mafune nyama Vidzakala kuhenzana taratibu si haraka Nakuhenza dedee nzo unitsukule I love you Nakuhenza dedee nzo nzo unitsukule I love you Nipekeche nipekeche (nipekeche) Nipekeche e nipekeche (nipekeche) Nipekeche mi nipekeche (nipekeche) Nipekeche e nipekeche (nipekeche) Nipekeche mi nipekeche (nipekeche)
Nipekeche e nipekeche (nipekeche)
Nipekeche we nipekeche (nipekeche) Nipekeche o nipekeche (nipekeche) Naomba unishikee popote napotaka Kileleni nifikee (eeh) mwenzako hoi natapatapa Nipee nikupe (haiyah) paka pale ntanogewa Simu usishushe (haiyah) ama mi nitakolea Mwenzako fan wa mapenzi kutendwa siwezi shapata kedekea Nasitishiki ukicheat najua mpenzi we wangu utarejea aaah Sababu si uchizibu ni kupendwa nimependwa nawe Na mamangu akuniuliza tu am gonna tell her why I love you bu Baba achikumala na ambea mafune nyama Vidzakala kuhenzana taratibu si haraka Nakuhenza dedee nzo unitsukule I love you Nakuhenza dedee nzo nzo unitsukulee I love you Nipekeche nipekeche (nipekeche) Nipekeche e nipekeche (nipekeche) Nipekeche mi nipekeche (nipekeche) Nipekeche e nipekeche (nipekeche) Nipekeche mi nipekeche (nipekeche) Nipekeche e nipekeche (nipekeche) Nipekeche we nipekeche (nipekeche) Nipekeche o nipekecheee (atiiii) Henda vino Henda vino (hahaah) Henda vino eeeh enda vino (ache eeh) Henda vino (ache) Henda vino Henda vino ee henda vino Nipekeche (eh) Nipekeche (eh) Nipekeche eeh nipekeche (alume huwoooh) Nipekeche (ah) Nipekeche (hah) Nipekeche eeh nipekeche (hah) Henda vino (hah) Henda vino (hah) Henda vino eeh henda vino (hah) Henda vino (ah) Henda vino (nipek) Henda vino eeh henda vino