![Najidai ft. Mejja](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/07/c4b083abcf01420aaf70819dde19951e.jpg)
Najidai ft. Mejja Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Najidai ft. Mejja - Adasa (KE)
...
ADS Kitambi ya Mejja utahata, aha Kiatu check check Hata nywele check check Kiuno chcck check Ni bora tu utawezana Kiatu check check Hata nywele check check Kiuno chcck check Ni bora tu utawezana Nijidai eeh, najidai najidai Nijidai eeh Nijidai eeh, najidai najidai Hautafika bei tembeza bwana Nijidai eeh, najidai najidai Check Out: Koirede Bello - Hey Babe Lyrics Nijidai eeh Nijidai eeh, najidai [Mejja] Nikikosa pesa nitapiga mboka Manze kukufuata siwezi choka Usinichoree juu ya kusota Naona unajidai unaona mi sikai Unaona sultan mi sifai Kiasi nimesota sina ganji Lakini mi tajiri wa mapenzi Sina pesa ya Olepolos, dinner Lakini mami nitakupikia Sina pesa ya kahawa hapo Java Lakini Kosewe tutakula sponser anatesa lakini afiki akikuja na pesa unakujia miti Akipiga simu unasema am busy Akiuliza uko wapi unasema in a meeting Miti meeting, wapi meeting Miti meeting, miti (Okwonko) Kiatu check check Hata nywele check check Kiuno chcck check Ni bora tu utawezana Kiatu check check Hata nywele check check Kiuno chcck check Check Out: Tekno - Neighbor Lyrics Ni bora tu utawezana Nijidai eeh, najidai najidai Nijidai eeh Nijidai eeh, najidai najidai Hautafika bei tembeza bwana Nijidai eeh, najidai najidai Nijidai eeh Nijidai eeh, najidai Najidai mi ndio supa dasa Utaisoma namba Lipi unatafuta utapata (Asalale Sultan mwenyewe na Adasa)
Follow me at boomplay
IG:@g.a.s_lighter