
NA ENJOY Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
NA ENJOY - Alliance MUUJIZA
...
Bonjour,
Bonne nouvelle ! Nous avons fini le traitement des paroles reçues pour "NA ENJOY" et tout semble en ordre.
Nous avons transmis les paroles à Apple, et elles devraient être disponibles sur iTunes et Apple Music en l'espace d'une semaine (ou une semaine après la mise en ligne du titre, s'il ne l'est pas encore).
Veuillez noter que nous ne pouvons garantir que vos paroles soient mises en ligne... Tout dépend désormais de Apple. Toutefois, nous pensons que tout est présenté et formaté correctement, et nous avons transmis et recommandé les paroles à Apple.
Si cela vous intéresse, la politique de Apple relative aux paroles se trouve dans la section "Lyric Guidelines" suivante :
*help.apple.com/itc/musicstyleguide/en.lproj/static.html#itccfbeba319
Si après plus d'une semaine vos paroles ne sont toujours pas sur les plateformes Apple, il est possible qu'un problème ait été détecté. Vous pouvez les modifier et les soumettre à nouveau quand vous voulez, en cliquant ici :
*distrokid.com/lyrics/track/?id=E67C4402-552A-4C78-8ED88C8EE5512B4C,1
Nilienda mbali nawewe
Nika ishi maisha
yakuji tegemeya
Nikazani
Nina weza yote
Bila wewe
Katika safari
Nika gunduwa
Siwezi bila wewe
Umenilinda
Kwa rehema zako
Ukaongoza njia zangu
Upendo wako haukupungua
Katika malalamiko yangu
Ume nilinda
kwa rehema zako
Ukaongoza njia zangu
Upendo wako hauku pungua
Katika mahangaiko yangu
Papa papa
Mi mwana wako
Niende wapi
Kwako natuliya
Umenilinda kama mbonyi
Ya jicho lako
Uka ni oneshe
Upendo usiyo na mwisho
Baba kwako natuliya
Amani isiyo na mwisho
Baba kwako natuliya
Baraka zisizo na mwisho
Baba kwako natuliya
Papa papa
Mi mwana wako
Niende wapi
Kwako natuliya
Umenilinda kama mbonyi
Ya jicho lako
Uka ni oneshe
Upendo usiyo na mwisho
Baba kwako natuliya
Amani isiyo na mwisho
Baba kwako natuliya
Baraka zisizo na mwisho
Baba kwako natuliya
Niende tena wapi
Nikuacha
Mimi ni imbu
Na wewe na wewe chandarua
Nilizunguka huku na huku
Mwisho wa siku
Uka ni nasa
Ukaniahidi
Huto ni acha
Mpaka mwisho wadahari
Siku juwa kwamba
Mimi ni mwanao
Hauku ondoa macho yako kwangu
Ulini funika kwa uvuli wa bawa lako
Hauku ondoa macho yako kwangu
Ulini funika kwauvuli wa bawa lako
Niende tena wapi
Nikuacha
Mimi ni imbu
Na wewe na wewe chandarua
Nilizunguka huku na huku
Mwisho wa siku
Uka ni nasa
Ukaniahidi
Huto ni acha
Mpaka mwisho wadahari
Siku juwa kwamba
Mimi ni mwanao
Hauku ondoa macho yako kwangu
Ulini funika kwa uvuli wa bawa lako
Hauku ondoa macho yako kwangu
Ulini funika kwauvuli wa bawa lako
Papa papa
Mi mwana wako
Niende wapi
Kwako natuliya
Umenilinda kama mbonyi
Ya jicho lako
Uka ni oneshe
Upendo usiyo na mwisho
Baba kwako natuliya
Amani isiyo na mwisho
Baba kwako natuliya
Baraka zisizo na mwisho
Baba kwako natuliya
Ume geuza huzuni yangu
Imekuwa furaha
Aibu yangu ume ivuta
Jina langu mpya ni furaha
Ume geuza huzuni yangu
Imekuwa furaha
Aibu yangu ume ivuta
Jina langu mpya ni furaha
Ume geuza huzuni yangu
Imekuwa furaha
Aibu yangu ume ivuta
Jina langu mpya ni furaha
Ume geuza huzuni yangu
Imekuwa furaha
Aibu yangu ume ivuta
Jina langu mpya ni furaha
Ume geuza huzuni yangu
Imekuwa furaha
Aibu yangu ume ivuta
Jina langu mpya ni furaha
Haleluya siko yatima
Haleluya nina enjoy
Haleluya siko yatima
Haleluya nini enjoy
Haleluya siko yatima
Haleluya nina enjoy
Haleluya siko yatima
Haleluya nina enjoy
Haleluya siko yatima
Haleluya nina enjoy
Haleluya siko yatima
Haleluya nina enjoy
Haleluya siko yatima
Haleluya nina enjoy