
Bariki Bwana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Bariki Bwana - Alliance MUUJIZA
...
BARIKIWA BWANA
Composée par /Muujiza
Écrite par /Muujiza
Interprétée par/Alliance Muujiza
Bariki BWANA E' nafsi yangu
Eh BWANA Mungu wangu
Wewe ni mkubwa sana
Bariki BWANA E'nafsi yangu
Eh BWANA Mungu wangu
Wewe ni mkubwa sana
Ume vikwa heshima
Na ukubwa
Unaye jifunika nuru kama vazi lako
Ume vikwa heshima
Na ukubwa
Unaye jifunika nuru kama vazi lako
Bariki BWANA E'nafsi yangu
Eh BWANA Mungu wangu
Wewe ni mkubwa sana
Ume vikwa heshima
Na ukubwa
Unaye jifunika nuru kama vazi lako
Yesu ume vikwa
Ume vikwa heshima
Na ukubwa
Unaye jifunika nuru kama vazi lako
E' BWANA ume vikwa
Ume vikwa heshima
Na ukubwa
Unaye jifunika nuru kama vazi lako
Sijawayi ona
Mwengine
Waku vikwa
Kama wewe
Ume vikwa heshima
Na ukubwa
Unaye jifunika nuru kama vazi lako
Ume vikwa heshima
Na ukubwa
Unaye jifunika nuru kama vazi lako
Aliye weka misingi ya nchi
Isitikisike milele
Amefunikwa kwa vilindi kama maji
Aliye weka misingi ya nchi
Isitikisike milele
Amefunikwa kwa vilindi kama maji
Maji yasimame
Juu ya milima
Kwa sauti ya radi yako
Yali kwenda mbio
Maji yasimame
Juu ya milima
Kwaku kemea kwako yesu
Yali kimbiya
Maji yasimame
Juu ya milima
Kwa sauti ya radi yako
Yali kwenda mbio
Maji ya simame
Juu ya milima
Kwa ku kemea kwako yesu
Yali kimbiya
Mweza yote ni wewe
Yesu mweza yote
Haleluya
haleluya
Yesu mweza yote
Hosanna
hosanna
Yasu mweza yote
Mweza yote ni wewe
Yesu mweza yote
Haleluya
Haleluya
Yesu mweza yote
Hosanna
hosanna
Yesu mweza yote
Haleluya
Haleluya
Yesu mweza yote
Hosanna
hosanna
Yesu mweza yote
Haleluya
Haleluya
Yesu mweza yote
Hosanna
Hosanna
Yesu mweza yote