
DUDE (DANCEHALL) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
DUDE (DANCEHALL) - Frida Amani
...
DuDe x2
Kila niki kila nikishika Bi kidude
Kila niki nikiwapa mashabiki dude
Kila niki kila nikishika Bi kidude
Kila niki nikiwapa mashabiki dude
Dude iloo dude x2
Kwanza nahasira za kichaga Mbutaa
Wapinzani wakiweka mchanga Mbutaa
Niko juu ya mlima siko juu ya tutaa
Twende kilioni wapinzani washasuka
Eyoo ni mawee baada ya mawe
Tosa magangaa
Na aletaka yote yawe, sio mganga
Wanasema me mkali, nawapa mashabiki dude
Nataka kuwa legendary kama Bi Kidudeeeeee
Kila niki kila nikishika Bi kidude
Kila niki nikiwapa mashabiki dude
Kila niki kila nikishika Bi kidude
Kila niki nikiwapa mashabiki dude
Hili dude bwana weeeh
Dude iloo dude x2
Zing zing ma,
washa tochi juu na kaa huwezi sim zima
Nishapandisha mzuka
Hapa nlipo si mzima
Dude lina zizima mzizima najizima
So waambie waache kelele
nimesema mtumzima
Natoa madini si nnatokea Mererani
I run city sio siri huni run
Huu mchezo nisha marder
Call me killer killer
Huko mtaani me ni marder
Na ndo mwana pia
Kila niki kila nikishika Bi kidude
Kila niki nikiwapa mashabiki dude
Kila niki kila nikishika Bi kidude
Kila niki nikiwapa mashabiki dude
Dude hilooo dude x2