Mkuu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mmh, wewe ni mungu mkuu
Hauna rival wewe ni mungu mkuu
Hivyo ndo ulivyo, chini na hata juu
Wewe ni mwanzo na mwisho
We ndo commander-in-chief oh
No one else above you Lord
Sauti yako ni tisho
Ukinguruma tunadidimia
Who can stand against you Lord
Ha-u-na rival wewe ni mungu mkuu
Hivyo ndo ulivyo, chini na hata juu
Ha-u-na rival wewe ni mungu mkuu
Hivyo ndo ulivyo, chini na hata juu
Lord you reign, reign
You never share your glory
We ni mungu mwenye wivu
Una kisasi na gadhabu, wenye hatia ulishawaonya
Basi wacha nirudie (nirudie)
Oh, labda hawajasikia yalowakuta wabebilonia
Hao watajutia wenye kiburi cha nebukadineza
Hauna rival, hauna equal
Wewe ndo mungu mkuu, mkuu hulinganishwi.
Ha-u-na rival wewe ni mungu mkuu (wewe ni mungu mkuu)
Hivyo ndo ulivyo, chini na hata juu (chini na hata juu)
Ha-u-na rival wewe ni mungu mkuu
Hivyo ndo ulivyo, chini na hata juu
Ha-u-na rival wewe ni mungu mkuu
Hivyo ndo ulivyo, chini na hata juu
Ha-u-na rival wewe ni mungu mkuu
Hivyo ndo ulivyo, chini na hata juu