Hashtag Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
God bless Kenya, God bless wakenya
God bless wenye wanasambaza hashtag
God bless Kenya, God bless wakenya
God bless wenye wanasambaza hashtag
Cheki vile hashtag imefika kwa streets
Cheki vile marapper wanatema kwa beats
Cheki vile teargas imeinspire ma hits
Cheki vile risasi haziturudishi kwa pits
Wanauliza mbona hatutense, mbona haturelax?
Wakiua si sote nishow ni nani watatax?
Ama wanadai kutureplace na ma A.I?
Agenda za IMF slave masters sema walahi
Hii ni Kenyan excellence, KOX ni evidence
Baraka kwa Hanifa ma-activists sema Viva
Sura ya Zakayo twaonyesha middle finger
Tumekuwa fucked over but hizo siku zimeisha
Sijiiti Gen Z, sijiiti millennial
Niko na citizenship na mengo ni lyrical
Nikidedi juu ya ngoma hio ni kifo ya maana
We jua wakinimada wanasaka laana
First things first, Ruto must go
Hakuna space ya maconvo vile damu inaflow
Wazalendo marehemu unawaskia kwa hii flow
Wajeruhiwa ni wengi na tena hawana dough
Magoons walichoma bado kwa walenje ni noma
Ujuzi unatembea kasi kuliko homar
Uzuri wa wezi wajinga hawajui kuficha
Kujiexpose wakiflex IG na mapicha
Watoi wao wamegonjeka na hio urithi
Madwanzi, tone deaf, tuanze na wiggy G
Arrogance ya Charlene kubonga on the youth's behalf
Ongelea endometriosis pata dawa ni rough
Ukweli Ruto alikuwa neighbor wangu huko Karen
Kila wiki magari bigi kupiga foleni
Raia kutoka mashinani kuletwa na basi
Mikutano ongezeka time kura si za wafuasi
Fast forward makarau walipiga msee risasi
Kando ya nyumba ya DP ngware sarakasi
AP aliniharakisha nisipige picha
Jueni kuna soul hajulikani huko twitter
Ka hujajam bado ngoja wanyakue salo
Hii si kawaida kitu inatuvuta from below
Blood sacrifices ka unaongelelea spiritual
Labda Kenya nzima imeingizwa kwa ritual
Kaa rada nje ndani ujipende nanii
Times ni crazy but mi nasema twende nanii
Vita vya mema na baya ni vya eternity
Fanya part yako hii ni chapter ya history, lazima victory