Namtumaini Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kwa sababu yesu wangu yupo
Siwezi ogopa chochote
(Kwa manyoya yake) yake ( atanifunika )ahaaaa
(Chini ya mbawa zake)chini ya mbawa zake ni kimbilio ooooooh
(Kwenye bonde la mauti Yesu)atanipitisha
Namtumaini yesu tu namtumaini yeye
(Anawaagiza malaika wananichukua mikononi )
(Anajua huzuni za moyoni ananifarijiii)
Namtumaini Yesu tu namtumaini yeye ( kwenye bonde la mauti yeyeeee ) atanipitisha
Namtumaini yesu tu namtumaini yeye.
( Kwenye bonde la mauti yeyeeee) atanipitisha
( Kwenye bonde la mauti iiiiiiii) atanipitisha.
( Ninapo anguka) huhuhuhu ( ninapo lemewa ) hahahaha mkono wake huja karibu yangu uuuu
( Hata wanadamu ) wanadamu ( wasiponiona) huuuu( macho yake wakati wote ) hunitazama
Namtumaini yesu tu namtumaini yeye
( Kwenye bonde la mauti) atanipitisha.