Sherehe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Konde Boy
Call Me Number One
Bakhresaa
Oouuwooh Uuuwo Uuuuh Uuuuh
Aaaah Aaah
Ukiwa Mvivu Ni Rahisi Sana Kuwa Na Wivu Tuliojituma Tukaarchive
Usitushangae Tukila Mbivu Uliwaza Mapenzi Tukawaza Pesa
(Mmmh)
Ona Yanavyokutesa Sie Kwetu Sherehe Oya Leo Sherehe
We Don't Really Mind Hata Tukikesha Liwake Hata
Ikinyesha Leo Siku Ya Sherehe Oya Leo Sherehe
Wanangu Hukuu
Kuna Sherehe
Hukuu
Kuna Sherehe
Hukuu
Huku Ni Sherehe Eeeh
Leo Hukuu
Kuna Sherehe
Hukuu
Kuna Sherehe
Hukuu
Huku Ni Sherehe Eeeh
(Mmmh)
Kuhonga Kubaya Ukiwa Huna Ila Tuliojipata Kwetu Sunnah
Wee Jigambe Unamkunaa Aah Huku Walio Na Meno Wanatafuna
(Bomboclaaat)
Mwenye Kisu Kikali Kala Nyama Leo Kidali Kaachwa Na Jimamaa Leo
Kwetu Kuna Sherehe Oya Leo Sherehe Ooh
Mpaka Kesho Tumeanza Leo Wasiotoka Wametoka Leo
Wameifata Sherehe Oya Kwetu Kuna Sherehe Eeh
Uliwaza Mapenzi Tukawaza Pesa
(Mmmh)
Ona Yanavyokutesa Sie Kwetu Sherehe Oya Leo Sherehe
We Don't Really Mind Hata Tukikesha Liwake Hata
Ikinyesha Leo Siku Ya Sherehe Oya Leo Sherehe
Wanangu Hukuu
Kuna Sherehe
Hukuu
Kuna Sherehe
Hukuu
Huku Ni Sherehe Eeeh
Leo Hukuu
Kuna Sherehe
Hukuu
Kuna Sherehe
Hukuu
Huku Ni Sherehe Eeeh