Habibi Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2024
Lyrics
Okay Am in love
Niliteleza kuanguka
Matope ukanipangusa
Nikakenga ukanifuma
Hukuona makosaah
Wangu tufaha
Furaha tunu malikia
Unanifaa
Nyongo ini mkalia
Nakuitaga malaika
Leo kesho peponi
Boda boda panda shuka
Tukavuke utotoni
Hutaki vijitii eeehh!!
Umepata Karam
Lollipop sweet eeehh!!
Mung' unya utam
Habibi iih Furaha niwe
Aaahh!!
Habibi iih Milele nawe
Habibi iih Furaha niwewe
Aaahh!!
Habibi iih Milele nawewe
Sifa ukweni mama mkwe
Alofanya nikakuona
Nimepita huku kule
We ndio moja in million
Sitopasha Tena vipolo
Ukinipa unajaza mororo
Nikizama unapandisha
Gear moto naongeza
Eehh!!
Hutaki vijitii eeehh!!
Umepata Karam
Lollipop sweet eeehh!!
Mung' unya utam
Hutaki vijitii
Umepata Karam
Lollipop sweet ieh ieehhh
Habibi iih Furaha niwe
Aaahh!!
Habibi iih Milele nawe
Habibi iih Furaha niwewe
Aaahh!!
Habibi iih Milele nawewe
Nakupa Roho yibebe
Nakupa Nishike nigege
Nakupa Asali my bebe
Nakupa Yote chukua
Tseeeeeeeeehhh!!!