Ayayah Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Nana nanaaah ee eeeh
Mungu kaumba wawili
Adam na Hawa
Minyama jike na dume
Tuzae tuwe sawa
Alicho tuficha kuona moyoni eieh
Nikikosa mwenzio samahani nanaraah
Unajali nikujali tufike ukooni mmmh
Unigande nikugande tufike uzeeni
Ukinita nitaitika
Mie Samson nawe delira
Nipe zote nitakokota
Joto baridi utaridhika
Umeniweeza vile sijawahi ona
Nachiziiika Kwa zako Kona
Bingili bingili baikoko
Tafuna mung' unya ka choko
Binua kazia ka voko
Simamia ukucha kuza mafamilia
Chorus:
Ayayah
Ayayah
Ayayah
Ayayah
Ayayah baby umeniweza
Ayayah umeshika pabaya
Ayayah nitakupa mabillion
Ayayah
Instrument 🎷🎸...
We nijini malaika mdoli
Maana unanichanganya
Mtunza Siri Kwa game hodali
Aaih nashindwa vavanya
Kazi bila salary nalidhia
Epuka gea mwali kutokea
Kwa Mama nikupeleke
Tupate baraka za peke
Umeniweeza vile sijawahi ona
Nachiziiika Kwa zako Kona
Bingili bingili baikoko
Tafuna mung' unya ka choko
Binua kazia ka voko
Simamia ukucha kuza mafamilia
Chorus:
Ayayah
Ayayah
Ayayah
Ayayah
Ayayah baby umeniweza
Ayayah umeshika pabaya
Ayayah nitakupa mabillion
Ayayah
Tseeeeehh tseeeeehh