![NINGEWEZA ft. Chris Clave](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/09/9db09c3d22ef48b7907834918eeaa808_464_464.jpg)
NINGEWEZA ft. Chris Clave Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
I honestly wanted to love you
For eternity
Wanted to share my love
Share this love
Haiwezekani wawili kupendana
Bila kugombana
Najipata nalia sana
Nikikumbuka tulipendana
Nikikumbuka mapenzi
Isiyo sasa
Najipata nalia sana
Nikikumbuka ile madhara
Mapenzi ya Nairobi imenifanya
Ooooh aki
Ningeweza singependa
Singependa tena,tena
Ningeweza singependa
Singependa tena,tena
Nakumbuka ni kama jana
Tukipanga kuoana
Kivipi sasa tumewachana
Ndoto zetu zimekwama
Ni nini nilifanya
Ni nini sikufanya
Umeniwacha napagawa
Kumbe wewe ndio dawa
Moyoni siko sawa
Ni wewe inadesire
I can't believe we're no more
We're no more
We're no
Siamini
Ningeweza singependa
Singependa tena,tena
Ningeweza singependa
Singependa tena,tena