Niko sawa Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Iyo yo yo yo yo yo
Iyo yo yo yo yo
Iyo yo yo yo yo
Yo yo yo yo yo
Usi complicate mambo
Weka feelings zako kando
Tulifanya hivyo jana
Hakuna kitu tuliagana
Hizi ni gani umeanza unanihanda unanifuata
Nilidhania twajibamba
Hisia zako zikakupanda
Ole ole wako
Kupendana na wewe hiyo vako
We ni we ni
We ni sample
Ligi yangu hujafika bado
Kila mtu na wake
Mi niko sawa kivyangu
Kila mtu na wake
Mi niko sawa kivyangu
Niko sawa
Single na niko sawa
Niko sawa
Single na niko sawa
Niko sawa
Single na niko sawa
Niko
Sawa sawa
Moyo wangu uliugua sana
Mapenzi ikanitesa
Nikaamua nijipende kwanza
Nijitilie pamba
Kucha kwa mkono na miguu
Tia marashi
Jipeleke party
Hii February sina mtu
Sipati maua sipati kitu
Pole pole kwako
Najipenda nakueka kando
We ni we ni
We ni sample
Ligi yangu hujafika bado
Kila mtu na wake
Mi niko sawa kivyangu
Kila mtu na wake
Mi niko sawa kivyangu
Niko sawa
Single na niko sawa
Niko sawa
Single na niko sawa
Niko sawa
Single na niko sawa
Niko sawa
Sawa
Ayeyeyeyeyeyeye
Ayeyeyeyeyeye
Ayeyeyeyeyeye
Yeyeyeye
Yeyeyeye