NAUMWA Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
NAUMWA - FUMAU MSHAIRI
...
nauuumwa
naumwa mie
sijui naumwa nn
hospital nimepima
gonjwa halionekani
chekap mwili mzm chochote
halionekani
si malalia .
si homa litakuwa gonjwa Gani
naumwa mie naumwa
sijui naumwa nn
ikasikika kauli
dactari akiongea
kutokana na yangu Hali
nikatibiwe India
nilipofika India nikavianza vipimo
dripu zilikuania
wakanichoma sindano
wakajalibu Kila njia lakin gonjwa halimo
naumwaaa naumwa mieee
sijui naumwa nn
kumbe naumwa mahabha
virus 108
naww ndo yangu thiba
dawa yangu nikuone
Kwa penzi lako nashibha
wann xax mwingine
kumbe naumwa mapenzi
mm kukuu penda ww
Tena nisipokuona mwili una kosa nguvu
rohooo yangu yasonona
mwenzako Nina his wivu
paka shumee nimeona
wasikuibe Kwa nguvu
sikuachi khani wangu
nimesha ku penda ww
sina pakukimbilia
moyo umenasa kwako
zimesha SEMA hisia
nikupende peke yako
namm nimeridhia
ww wangu me ni wako
sikuachi Hani wangu
nimesha ku penda ww
vile uki tabasamu
roho yangu yatulia
kwako siishiwi hamu
hubha hukinipatia
nakupenda muhadhamu
siniache nalia
sikuachi Hani wangu
nimesha KUPENDA ww
nahisi nimetumbukia
kwenye kisima chamahabhaaa
nahisi ndo najifia
nawe ndo wangu msahada
sekunde zimesalia
nife Kwa Yako mahabha
SIKUACHI KHANI WANGU
NIMESHA KUPENDA WW
by .santanah boe