
Pepo Ya Dunia
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Pepo Ya Dunia - Brother Nassir
...
verse 1... ooh Pepo ya dunia ni mama alonizaa akanilea kanifunza kila jema ya Akhera na dunia Pepo ya dunia ni mama alonizaa akanilea kanifunza kila jema ya Akhera na dunia Namuombea salama awe na njema afia na ifikapo khatima vyema kujiondokea chorus.. peeepo ya duniaaaa pepo ya dunia (mhhh) peeepo ya duniaaaah (oooh) pepo ya dunia ni mama verse 2. oooh wewe ni pumbao langu ni ingiapo taaabuni wewe ndiye nuru yangu ni poteapo gizani wewe ni pumbao langu niingiapo taaabuni wewe ndiye nuru yangu ni poteapo gizani Nakuombea kwa Mungu asubuhi na jioooni ubarikiwe mama'ngu uwapo ulimwenguni chorus peeepo ya duniaaaa (oooooh) pepo ya dunia (aaaah) peeepo ya duniaaaah (?) pepo ya dunia ni mama verse 3 ndiwe penzi ndiwe hubby kulikoni kila mtu uniitapo Habiby wengine kwangu si kitu ndiwe penzi ndiwe hubbi kulikoni kila mtu uniitapo Habibi wengine kwangu si kitu nami namuomba Rabbi Ni yeye wa wote watu nalikariri ya Rabbi wakirimu mama zetu chorus. peeepo ya duniaaaa (peeeepoooo) pepo ya dunia (pepo ya dunia) peeepo ya duniaaaah (oooooh) pepo ya dunia ni mama.
Similar Songs
Listen to Brother Nassir Pepo Ya Dunia MP3 song. Pepo Ya Dunia song from album Pepo Ya Dunia is released in 2023. The duration of song is 00:02:33. The song is sung by Brother Nassir.
Related Tags: Pepo Ya Dunia, Pepo Ya Dunia song, Pepo Ya Dunia MP3 song, Pepo Ya Dunia MP3, download Pepo Ya Dunia song, Pepo Ya Dunia song, Pepo Ya Dunia Pepo Ya Dunia song, Pepo Ya Dunia song by Brother Nassir, Pepo Ya Dunia song download, download Pepo Ya Dunia MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
mwanaid ab bakary
Just_asmah
Shout out to all mothers for those who passed away May Allah give them jannat firdaus ❤️
Lucy Minjazan1m
[0x1f641]
kisilwanasser
❤️❤️
Yassir Yussuf
ni kweli mama ndiye aniombeaye nipate mazuri, thanks to all mothers[0x1f60e][0x1f60e][0x1f621]
mashaallah