
ASANTE Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
ASANTE - Samvado Africa
...
Samvado
nimerudi tena
oyeyeye
instrumental playing ...
K k
Mungu wangu ananipenda sana (yoyo)
Mungu wangu ananipenda sana...
kutoka nilipozaliwa sasa Mimi ni mkubwa
nasema Asante baba umenionyesha upendo
Yale unatenda kwangu yote ni makubwa
nasema Asante bwana umenionyesha upendo
shida ni nyingi nimepitia
magonjwa maneno nimesikia
ila baba umenionekania
umenipigania na vita
umeniongoza umenilinda umenipenda Ba'
umenionyesha njia kama sio wewe Yahwe?
umeniongoza umenilinda umenipenda Ba'
umenionyesha njia kama sio wewe Yahwe?
oh oh oh oh eeh
Mungu wangu ananipenda sana (yoyo)
Mungu wangu ananipenda sana...
(oyoyoyo onanana oyeyeye olala oyeyeye oyoyo oooh oyoyoyoyo oh)
Machozi nililia Alinifuta
nilipotea Akanitafuta (Kila kitu changu)
Tumainia tumainia tumainia
( Kwa maisha yangu)
Namtumainia tumainia tumainia
Kila kitu changu)
Tumainia tumainia tumainia
(Na maisha yangu)
Namtumainia tumainia tumainia Bwana
Mungu wangu ananipenda sana (yoyo)
Mungu wangu ananipenda sana...
instrumental playing ...