
Tutashinda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Tutashinda - Samvado Africa
...
watu wengi wanalia kisa maisha magumu
tunapaswa vumilia tuskume hii gurudumu
sote njia twa pitia Hali sio ya kudumu
baba mama vumilia suluhu sio kunywa sumu
ni kwa Imani naamini tutasimama
japo wengine yatima bila baba mama
ni kwa Imani naamini tutasimama
twakosa karo tulipe tupate soma
tupambane tukazane
tushikamane tusonge mbele
tupambane tukazane
tushikamane tusonge mbele
tupambane tukazane
tushikamane tusonge mbele
tupambane tukazane
tushikamane tusonge mbele
tutashinda tutashinda
tutashinda tutashinda
tutashinda tutashinda
tutashinda tutashinda ( tutashinda vita)
japo mapato madogo
haziishi shida ndogo ndogo
wakubwa Kwa wadogo
tunakosa chakula mihogo...
twaweka mikakati
twafanya harakati
tupotezi wakati
ila muda unatupa kisogo...
ni kwa Imani naamini tutasimama
japo wengine yatima bila baba mama
ni kwa Imani naamini tutasimama
yapo mengine twaona hatuwezi sema
tupambane tukazane
tushikamane tusonge mbele
tupambane tukazane
tushikamane tusonge mbele
tutashinda tutashinda ( tukiwa na Yesu.)
tutashinda tutashinda ( tukiwa na Yesu.)
tutashinda tutashinda ( tukiwa na Yesu.)
tutashinda tutashinda ( tutashinda vita)
tutashinda tutashinda
tutashinda tutashinda
tutashinda tutashinda
tutashinda .