SHUKRANI KWAKO BWANA Lyrics
- Genre:Blues
- Year of Release:2024
Lyrics
Shukrani kwako Bwana
Kwa ajili ya wema wako
Umefungua malango yako
Umetupa njia yakuja
Ndani ya hema yako
Kando ya utukufu wako
Kitambo hatukuitwa
Wala hatukuchaguliwa
Neema yako imetenda ndani yetu
Imevunja pazia ya utenganisho
Imetupa nafasi
Karibu ya utukufu wako
Nani aliye kama wewe
Hakuna msaidizi kama wewe
Macho twainua juu mbinguni
Tukishuhudia ukuu wako
Nani aliye kama wewe
Hakuna msaidizi kama wewe
Macho twainua juu mbinguni
Tukishuhudia ukuu wako
Jina lako Mungu
Milele yote usifiwe
Twainua mikono
Tukielekeza macho mbinguni
Kwako Bwana mwenye nguvu zote
Twatupa taji za utukufu
Mbele zako Mungu
Milele yote usifiwe
Nani aliye kama wewe
Hakuna msaidizi kama wewe
Macho twainua juu mbinguni
Tukishuhudia ukuu wako
Nani aliye kama wewe
Hakuna msaidizi kama wewe
Macho twainua juu mbinguni
Tukishuhudia ukuu wako
Jina lako Mungu
Milele yote usifiwe
Nani aliye kama wewe
Hakuna msaidizi kama wewe
Macho twainua juu mbinguni
Tukishuhudia ukuu wako
Nani aliye kama wewe
Hakuna msaidizi kama wewe
Macho twainua juu mbinguni
Tukishuhudia ukuu wako
Jina lako Mungu
Milele yote usifiwe
Jina lako Mungu
Milele yote usifiwe