NAMPENDA YESU (GO PREACH BAND) Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
Nampenda Yesu
Nampenda Yesu
Aliyenipa uzima wa milele
Mimi nampenda
Kaacha utukufu wake
Kashuka chini sana duniani
Wamilele kakufa
Ili mimi niwekwe huru kabisa
Kwa kuteswa kwake Yesu niko huru.
Nampenda Yesu
Nampenda Yesu
Aliyenipa uzima wa milele
Mimi nampenda.
Upendo wake ni zaidi ya pigo la dhambi zangu zote
Aliye m'barikiwa kawa mlaaniwa
Nuru ya ulimwengu kazungukwa na giza kubwa
Kwa kuteswa kwake Yesu niko huru
Nampenda Yesu
Nampenda Yesu
Aliyenipa uzima wa milele
Mimi nampenda
Na Kila goti litakunjwa mbele zake,
Kila ulimi ukiri ya kwamba Yesu ni Bwana kwa ajili ya utukufu wa jina lake
Yesu ni Bwana anastahili yeah
Ni Bwana milele