Final Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Yo, Iam the bina mr well, s'koo
Mbona nilivumilia, mangapi ulio ya fanya kwangu ngeu siku ku wachia, siku zote niliamini we ni wangu
Kama kosa langu kukupenda nisameh
Mimi nawe tena hatuwezi jenga, nisikuongopeh
It's final, nimesalenda
It's final, nimesalenda
Nitawaambia nini sasa watuleo
Nitawaeleza nini sasa watuleo Coz Nilitamba, juu yako, nani kajigamba
We mwana nimbaya, siku jua una haya
We mwana nimbaya, siku jua una haya
It's final, final, final
Utanikumbuka
It's final, final , finally
Tutaonanabadae
It's final, final , final
Utanikumbuka
It's final , final , finally
Tutaonanabadae
Umeniacha kilombaya wala ukujali
Wala ukujali
Zile simu simu simu zako za kejeli
kumbe nita peli
Ningijua kama unani potezea muda
Siku moja wangu bongo kaja ufuruga
Hata na upendo mini ngepunguza
Ningeacha kila kitu changu ningeenda
I did everything for you
Ulikua moyon
Na shida zako sikujali
Nika kubeba mgongon
Nitawaambia nini sasa watuleo
Nitawaeleza nini sasa watuleo
Coz Nilitamba, juu yako, nani kajigamba
We mwana nimbaya, siku jua una haya
We mwana nimbaya, siku jua una haya
It's final, final, final
Utanikumbuka
It's final, final, finally
Tutaonanabadae
It's final, final, final
Utanikumbuka
It's final, final, finally
Tutaonanabadae
Nitawaambia nini sasa watuleo
Nitawaeleza nini sasa watuleo
Coz Nilitamba, juu yako, nani kajigamba
We mwana nimbaya, siku jua una haya
We mwana nimbaya, siku jua una haya
Ya, ya, ya
Ya, ya, ya
Ya, ya, ya