Tingisha ft. Ouma Wa Mafegi & Soundkraft Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Like a boss
Huuu Ouma wa ma what
Huh yeah Genoo
Look
Ahh
So zimeshka
Wikendi na ka fom kamejipa
Ni mteja ukijaribu kupiga
Tuko out from the morning hadi giza
Hadi giza
Hadi giza
Baby peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Hadi giza
Baby peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Yeah
Baby girl
How ya feeling
Najua umekapitia lemme give you some healing
Bado billionare but me nadai kukutreat
Unadai nike fit
Basi ill just do it
Sema ngwe
Mimi niko ngweest
Shada na maembe tumedi tu vibest
Wachana na mamende
Girl you badder than the rest
Yeah you badder than the rest
Na kwa haga uko blessed
Lemme see you drop it low
Back it up
You know what you know
Tell the dj turn it up
Umetesa dance floor na hako ka mini skirt
Na majegi zina tat
Umeweza it's a fact it's a fact aii
Zimeshika
Wikendi na ka fom kamejipa
Ni mteja ukijaribu kupiga
Tuko out from the morning hadi giza
Hadi giza
Hadi giza
Baby peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Hadi giza
Baby peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Yeah
Shawrie fulani ana chali but hajali
She be
For the team kama jersey niko kazi on the floor
After me nagonga tunacheza brikicho
Genes1s na Ouma wa mafegi na mandom
Tryna spend a couple racks on a necklace
See me and they smile you would think Iwas a dentist
Nadishi hizi beats na sishibi hii ni breakfast
I be in her throat like my first name strepsil aghhh
So zimeshika
Wikendi na ka fom kamejipa
Ni mteja ukijaribu kupiga
Tuko out from the morning hadi giza
Hadi giza
Hadi giza
Baby peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Hadi giza
Baby peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Tingisha tingisha
Tena peleka chini
Yeah