Tupo site ft. Lilmaina Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Life is too short so jinice
Tuko outside na nagoonies na maguys
Tume ngara ngara that's right
Kama jana jana walai
Na
Tupo tupo tupo site
Uh huh
Tupo tupo tupo site
Uh huh
Tupo tupo tupo site
Uh huh
Tupo tupo tupo site
So
Ka ukona stress basi achilia
Yo
Basi achilia
So
Ka ukona stress basi achilia
Ye
Basi achilia
Pesa imeisha manze nimesota
Bado tuko out juu manze sijachoka
Ma g hutoa lock bila key key
Na Luku hii ni safi Niko clean clean
They call me the presenter juu kwa beat natangaza
Na mbogi ikolit ungethani ni mwangaza
They call me Genes1s so kudunda tunaanza
Call me Genes1s so kudunda tunaanza
Life is too short so jinice
Tuko outside na nagoonies na maguys
Tume ngara ngara that's right
Kama jana jana walai
Na
Tupo tupo tupo site
Uh huh
Tupo tupo tupo site
Uh huh
Tupo tupo tupo site
Uh huh
Tupo tupo tupo site
So
Ka ukona stress basi achilia
Yo
Basi achilia
So
Ka ukona stress basi achilia
Ye
Basi achilia
Ah Cheki 24 /7 kama
Base ya keg
Msupa ndani ya klabu anadai kuingia head
Ikoshona sana basi nita
Dungia specs
Tumia velo kama therapy akianza kunistress
Si ni Thursday ah
Alafu Friday ah
Zitaripoti hadi kuliko Afande na
Debe inyambe ah
Alafu sare ah
Hizo mastory zako hazileti shangwe
Na kila bukla nikiingia kunalipuka
Base na ndasu hadi fans wanashtuka
Huyu si ni yule msee mwenye hufanya jokes kwa nyumba
To be honest hadi nyinyi manze mshakuwa too much ah
Na skiza
Zimengwata zikaachilia
Na yule hapo kando ananiangalia ah
Dont be shy ah
Come here
Alafu ka houdini mi na disappear
Walai na
Tupo tupo tupo site
Uh huh
Tupo tupo tupo site
Uh huh
Tupo tupo tupo site
Uh huh
Tupo tupo tupo site
So
Ka ukona stress basi achilia
Yo
Basi achilia
So
Ka ukona stress basi achilia
Ye
Basi achilia