MAMOSHI ft. sosatheprodigyy Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2024
Lyrics
Niko mamoshi
nakanibash tunapiga na wadosi
Vitu safi safi siunajua mi sikosi
Sare ma swara yani sipendi mikosi
Ah! Niko mamoshi
Naka ni tunapiga na wadosi
Vitu safi safi si unajua mi sikosi
Sare masawara juu sipendi mikosi
Na fom bila dem haiwez ninya uduu
Shida si baridi naeza kuja ata na fluu
Juu luku tunapiga nikama tuko majuu
We shinda tu na mimi na dream zitakuwa truu
Ni ukweli na tema nikiwa stu
Beat ikini bamba usijali ntacome through
Alafu kuna venye annabella ana confuse
Nadai kufika hivyo lakini atani accuse
Minajua unaipenda na bado unaitaka pia
Niko mavela nanajua unaniangalia
Cheki naka ningori naeza kanyagia
Si ukuje hivi kuna story ntakufichulia
Ah! Niko mamoshi
nakanibash tunapiga na wadosi
Vitu safi safi si unajua mi sikosi
Sare masawara juu sipendi mikosi
Ah! Niko mamoshi
nakanibash tunapiga na wadosi
Vitu safi safi si unajua mi sikosi
Sare masawara juu sipendi mikosi
Shika shika zangu minishike zako morio
Sunday kifanje tuparty adi moro
Maza vako zangu zote zakigaza
Rima embapesa embakasi embagaza
Nawakilisha eastside solo
Uku ni mbegega joh utadhani yami bolo
Enzi za kudunda na matiki za kuborrow
Sahizi luku joh ni fisa
Na nafika bei solo
Aiiii
Cheki sean rada gani
Tuma ile beat ndio tuthigithe mabane
Watoto wakorofi wote nimachargie
East ni konyolo west ni konyagi
Ah! Niko mamoshi
nakanibash tunapiga na wadosi
Vitu safi safi si unajua mi sikosi
Sare masawara juu sipendi mikosi
Ah! Niko mamoshi
nakanibash tunapiga na wadosi
Vitu safi safi si unajua mi sikosi
Sare masawara juu sipendi mikosi