NGOMA ZANGU Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Yoh
Skiza magi magi
Skiza magi magi
Napenda uki smile, my baby u so fine
Unakuanga umenimaliza mimi . So y lie
Nachangana kikuyu kilami ndio niko shy
Situpige moshi mbili afta hapo tutakuwa high
Ati ningoma zangu ndio zinafanya anaskia fine
Ni ngoma zangu, ndio anapitisha nazo time
Ni ngoma zangu , ndio zinafanya askie fiti
Nabado ananishow anapicha yangu kwa kibeti
Doba ni kali ndio maana mimi na flex
Nasiezi ngoja kukuona niku caress
Hapendi story kwanzq zile za ma ex
Ntampata wapi kunavenye nilimess
Ah
Napendaga vile ukitoka unawamaliza ,ah
Na nikichwa mbaya na makali anakutandika ah
Ye hupenda moshi ndio anaitafutangaah
Na ukikuja mbaya anakucheka kwanza zile za ha!
Juu all along ,nimekuwa kwa zone
Nasakanya maganji manumber ziko kwa phone
Kunazingine zitakubamba zingine zitakuboh
Juu kama bric and lace mehn i am bad to the bone
Napenda uki smile, my baby u so fine
Unakuanga umenimaliza mimi . So y lie
Nachangana kikuyu kilami ndio niko shy
Situpige moshi mbili afta hapo tutakuwa high
Ati ningoma zangu ndio zinafanya anaskia fine
Ni ngoma zangu, ndio anapitisha nazo time
Ni ngoma zangu , ndio zinafanya askie fiti
Nabado ananishow anapicha yangu kwa kibeti
Napenda ukismile my baby u so fine
Nabaki nikiuliza ni lini utakuwa mine
Natamani kubonga na wewe so nipetime
Kunavenye utanipenda so keti nikupe vibe
Anapenda kujitua manzi ni go getter
Kwanza rangi ni ya majuu , kadaila inaget better
Hakuna kitu unaeza do, kaa ganji pia anazileta
Natamani kukamarry juu kasura kanameta
na misilengi kizungu ndio kidogo ngumu
But naeza tupa lugha mbaka uskie kizinguzungu
Napendaga vile ukitoka unawamaliza
Siufike hivi, dakika mbili umeshanga