Mwenyewe Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
Sijui nikuimbie ka wimbo oh
Nanananana
Au kama musa nitumie fimbo oooh
Bora tu unielewe
Ama nitumie mafumboo
Oooooh
Juu moyo ushajifungua fundo ooo
Nananana
Kwa shida na raha
Tutapampana mpenzi wangu na
Kuahidi sito kuja kuacha
Nitalilinda penzi letu baba
Nilalapo kifuani mwako Napata usingizi mwanana
Ukinishika nagandamana
Nangatangata kucha
Ue wangu niwe wako kukwacha watangoja sana
Ntakupost tiktok na grama rarara
Watachonga sana
Oh baba
Napenda rangi yako
Kifua macho yako
Unitazamapo ooh my love
Oh baba
Napenda rangi yako
Kifua macho yako
Unitazamapo ooh my love
Nacho taka unipende mimi
MWENEWE
My baby boo
MWENYEWE
I love you
MWENYEWE mhhh
Nacho taka unipende mimi
MWENEWE
My baby boo
MWENYEWE
I love you
MWENYEWE mhhh
Fungu gani nikuweke
Nikuchukue humu ndani nikuekeee
Uzuri wako ni wa pekeee
Unamfano kama wale wengine eh
Kwa mahaba nibembelezee
Unidekedeke
Coz am crazy for you crazy for you crazy for you
Oh baba
Napenda rangi yako
Kifua macho yako
Unitazamapo ooh my love
Oh baba
Napenda rangi yako
Kifua macho yako
Unitazamapo ooh my love
Nacho taka unipende mimi
MWENEWE
My baby boo
MWENYEWE
I love you
MWENYEWE mhhhh
Nacho taka unipende mimi
MWENEWE
My baby boo
MWENYEWE
I love you
MWENYEWE mhhh