NATAKA NILEWE ft. Dj Zeddy Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Bada bada pondiis..
Weiter Leta
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Jaza Meza leo
Nataka Nibebwe
Nataka Nibebwe
Kimenibamba leo
Wacha niseme
Ugali Tumege
Mambo ndio mengi leo
Masaa ndio machacheiii…
So tell my boyfriend sina ubaya
Niko out mi najibamba
Na niko faithful kwake sanaa
Mwambie Mama
mwanae sijalosti napambana mama..
Mola ametoa Mikosi na ndio manaaaa
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Its Dj Zeddy
Na hata mara moja isiwe kesi
Kama unazo enjoy
Maisha Mafupi sana tufanye wepesi
Sherehe!!Sherehe!!Sherehe!!
Ukitaka kukesha bar
Enda!!
Ukitaka kwenda kwa church
Enda!!
Ukichoka pia kukaa
Enda!!Enda!!Enda Enda mbali Mbali kabisa!!
Mwambie Mama
mwanae sijalosti napambana mama..
Mola ametoa Mikosi na ndio manaaaa
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe
Nataka Nilewe