
Maisha Ya Mtaa Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Oooo oooo..
Eeeee eeeee..
Oooo oooo..
Eeeee eeeee..
Masaa yanakatika.
Miaka inaburuzika.
Na maisha mtaa.
Hali inatisha sasa tumechoka
Tanzania amka.
Masaa yanakatika.
Miaka inaburuzika.
Na maisha mtaa.
Hali inatisha sasa tumechoka
Africa amka.
Maisha ya mtaa.
Ubongo wako shule ndio taa.
Natoa macho kwenye chapaa.
Miripuko balaa la njaa.
Mateso vifo miaka inaambaa.
Toka koo na koo kwenu njaaa.
Kula yako ya kuhahaa.
Mke watoto chumba cha kupanga.
Upo kama hupo siku zinakwenda.
Toka kiangazi mpaka na masika
Tunataabika soma.
Anatoka Raisi anaingia Raisi na maisha sio safi.
Masaa yanakatika.
Miaka inaburuzika.
Na maisha mtaa.
Hali inatisha sasa tumechoka
Tanzania amka.
Masaa yanakatika.
Miaka inaburuzika.
Na maisha mtaa.
Hali inatisha sasa tumechoka
Africa amka.
Naangaika toka yupo father.
Africa mtoto wa mtanza.
Seleka ina make fedha.
Kitaa tunapoteza.
Almasi dhahabu wanyama.
Yanini tabu andamana.
Acha wapiga kitabu wengine wezi noma.
Na vijana ajabu washakata tamaa.
Kwa drugs gongo tunakufa.
Si hatuna michongo Rabuka.
Tunapata mapigo na tunakoma.
Maisha mzigo usipime noma. masaa
Masaa yanakatika
Miaka inaburuzika
Na maisha mtaa
Hali inatisha sasa tumechoka
Tanzania amka
Masaa yanakatika
Miaka inaburuzika
Na maisha mtaa
Hali inatisha sasa tumechoka
Africa amka
Oooo oooo..
Eeeee eeeee..
Oooo oooo..
Eeeee eeeee..