
Chachaman Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Ooo Chacha man ooo chacha man
Ooo Kaya man
Say
Ooo Chacha man
Chacha show at the way
Ooo Kaya man
In the drug solution
Ooo Chacha man
Chacha show at the way
Ooo Kaya man
In the drugs solution
From the west to the east tuna run town.
Tupo fresh tupo ress tuna roll down.
Murder case tupo jeshi tu kok gun.
Twende kazi twende kazi tunataka crown.
Street ghetto to my jungle.
to my people to my gang home.
Leo kesho iwe ng'ambo.
Iwe bongo tuna sing songs.
Tunarusha ma king kong.
Kama vita nina big boom.
Africa my sweet home.
Na mizuka ya ding-dong.
Kama OG na BV Kimnoma Bazz na Ally.
Pande zote na konka Tz kichwa brain sijamoka dingi.
Hauwezi ishusha cv nakwenda nadunda hivi.
Kaya man ongeza bidii Fumbakasa Nonstop G
Say
Ooo Chacha man
Chacha show at the way
Ooo Kaya man
In the drug solution
Ooo Chacha man
Chacha show at the way
Ooo Kaya man
In the drugs solution
Kwenye mitaa tunapoishi.
Fujo vurugu tupu utupe njia Oo Jah.
Sela don't give up pambana usichoke get up.
Ghetto street wake up yahitaji forcing stand up.
Usikonde mwana jela maskani bado ni upela.
Kitaani uzushi na jealous manjagu watembeza pira.
Last Kush wana devela tuonane kwa dada Stella.
Salute mwanangu Killer mchaka kuisaka dollars.
Got to fighting don't stop kaza mwana pull up.
Make your dream legacy yahitaji upate back up.
System ina corrupt fake friends format.
I don't wanna go back only future focus.
Tupe njia tuweze kusimama.
Kwenye mitaa tuishi kwa salama.
Si ya vijana
Su ya wazee
Si wasichana ooo
Show us the way tuishi kwa salama.
Eeeeeee tuweze kusimama.
Oooo chacha eeee chacha
Chacha chacha chacha chacha at the way.
Chacha eee chacha at the way
Eeee eeee eeee chacha chacha
Chacha
Chachaman chacha chacha.
Chacha man chacha chacha ee
Chachaman chacha chacha