Ntakutrace Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Ntakutrace - habarimbaya
...
USIKUE NA PRESHA BABY GIRL NTAKUTRACE
SAII NIKO LOCKED NA NI BAG ME NACHASE
KILA NGWARE NIKIRAUKA ME HUPIGA MAY THE GRACE
ME NDO LION NA MSUPA NDO LIONESS
HUH
YOW
NTAKUTRACE NTAKUTRACE ...
NTAKUTRACE NTAKUTRACE NTAKUTRACE ...
SKIZA HUH YOW
USIKUE NA PRESHA BABY GIRL NTAKUTRACE
SAII NIKO LOCKED NA NI BAG ME NACHASE
KILA NGWARE NIKIRAUKA ME HUPIGA MAY THE GRACE
ME NDO LION NA MSUPA NDO LIONESS
USIKUE NA PRESHA BABY GIRL NTAKUTRACE
SAII NIKO LOCKED NA NI BAG ME NACHASE
KILA NGWARE NIKIRAUKA ME HUPIGA MAY THE GRACE
ME NDO LION NA MSUPA NDO LIONESS
TULIMEET ASUBUI 5AM MORNING JOG HER BODY SO WET SA KILA KITU WAS ON POINT SHE A GEN Z CHILLE JU ALIKUA AMEBEBA JOINTS NA KENYE NILI NOTE NI ATI ABEBANGI COINS SHE INVITED ME FOR BREAKFAST JU ALIBAMBIKA NA ME ANABONGA KA MZUNYE NA SHORI SI WA OVERSEAS NILIMSHO AMEIVA AKASEMA ATI NAMTEASE ATII NINGEKUA MBROWN ANGENIHATE KAMA CHRIS
SAI NIKO JOB ME NASAKA TU MAZIWA KA VAKO ZA POZZE NTAKUTAFUTA WANGU NJIWA KENYE ME HUOMBA NI FUNGUO ZA HII NJIA NA ONE DAY ME NA WEH TUSTAY BILA FEAR HUH
ME NDO ROMAN KWA HII YARD ME NAREIGN
NAKUMBUKA UKINISHO UNATAKA KISS IN THE RAIN
BEFORE NIKICK BUCKET WEH JUA WEWE NDO MAIN
SIDE CHICK NI HII MIC UKIISHIA NTAKUA IN PAIN HUH
SENORITA IWE JUA AMA MVUA OH LORD HAVE MERCY YE NDO MY ONLY KAMBUA PICHA ZAKO ZIUFANYA ME NASHINDWA KUPUMUA AM A GANGSTER LAKINI BADO ME NAKUTAMBUA HUH
NIKIWA NA WEH ME HUFEEL NIKO COMPLETE
I VALUE YOUR STYLE AKUNA WA KU KU COMPETE
YOUR THICK THIGHS ZIUFANYA ME NIFEEL KUKU EAT
AKIVAA JERSEY YA MIAMI ME HUJUA AKO ON HEAT
HUH
TWENDE KWAO MAN
NTAKUTRACE NTAKUTRACE HUH
NTAKUTRACE NTAKUTRACE HUH
USIKUE NA USIKUE NA PRESSURE NTAKUTRACE
HUH
YOW
NTAKUTRACE NTAKUTRACE HUH
NTAKUTRACE NTAKUTRACE HUH
ATIII USIKUE NA PRESSURE BABY GIRL NTAKUTRACE
SKIZA TWENDE KWAO