Vanilla Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Vanilla - habarimbaya
...
TRUE LOVE HUYU MPOA NI REALER WHEN AM SICK SHE TURN TO A HEALER SHE FELL IN LOVE NA DRILLER CHOCOLATE FLAVOUR SI NI VANILLA CLARETS FAN YE HUSTONE KWA VILLA NAMPIN KWA WALL UTADHANI MANILLA MAN OF STEEL YE HUNIITA KILLER HUH SHE A TEN HER NAME PRISCILLA

YE HUNIBAMBA KA OFFER ZA SAF
JU KA SINA ANAOKOA JAHAZI
NIMETOSHEKA NA BETTER HALF
NAJUA MNANGOJA NISHUKE HII NGAZI
SWEET ONE BARBIE ANADAI AMENICUFF
NA ME KWA STREETS NAKIMBIZA WARAZI
NIKITAJA LOVE WAO HULAUGH
NI KA ONE DAY HAWATAKUA WAZAZI
ANASEMA AMETOKA KAREN SA ANATAKA MAPENZI YA ATHI RIVER PARK C SI HUPIGA SHEREE AKIKAM HIZI YARD ME HUMCHOMA ADII LIVER PHONE IKIRING YE HUTURN ON SPEAKER HADAI NIBONGE NA ANY OTHER DIVA CHEAP TALK NDO STORY APENDI NASKIA YE HUKUAGA NA ALLERGY YA NJIVA
NI MHOT NI KA ANAUGUA FEVER FAST LEARNER NIMEMSOMA KA SKIMMER DESIGN ME HUMPEA HII DOZE NAACHA HAO WENGINE WAKIWA MASWIMMER ME HUMTURN ON MARA MOJA KA STIMA LAST NIGHT ALIISHIA BILA KISS AKIDAI NIMFUATE KAREN NA SHEKINAH
BIG DREAMS NDO TITLE YA EPISODE
KILA SA YE HUCHEKA MY JOKES AKISEMA ANKOO UNANIVUNJA RIBS MIC ME HUSHINDA NAYO NDANI YA CRIB AKIMOAN HER VOICE NATUMIA KA ADDLIB TIKTOK AKISHAKE HER WAIST UNAEZA DHANI NI AJIB YE HUNIOMBEA NIKISTEP KWA STREETS NIGO HARD AND HARDER KA JAB YA KHABIB DONE DEAL YE NDO MI HABIBI