
Tamba Nao ft. Vekoh Massacre Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Tamba Nao ft. Vekoh Massacre - Boywaley4
...
Bae...??
Ikisha Pangwa Ishapangwa..
Maneno, Masimango ila bado hatutotengana
Mapenzi yamenoga Siutani
Najua Inawauma Ndio Maana atuongeleshani.
kila sekunde Haipiti sjakufikiria..
Moyo wangu umeutika nakukimbilia
maneno Matamu wanisimulia..Leo kesho Paka milele Nakushikilia..
Babe..
umeumbika Kiukweli
Adabu Na Heshima. Hilo siwezi kukejeli.. We ni matata umeni kamataaa baby deka Maana mi kwako nshaadata
Sitochoka kuwa mvumilivu nipende njisifie wabaya waone wivu..
Nakupenda Wewe Nimekuchagua
So Kazi Kwao Kwa wale Wasojitambua
Four..!!