MY GIRL Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
yea X 6
Mr. Wasaman
my girl X 3
Wacha niseme ukweli wanipagawisha aaah
tulipopatana ulinivuta kama shisha aaah
dada dawa anapunguza pressure aaah
kushika kanishika mpaka kwenye mshipa aaah
basi
njoo karibu nikushow vile na come through
kwenye dancefloor nikuonyeshe some moves
nikiwa down low wanipandisha juu
narudi kwa lazizi hata nikivunjika guu
guu X2
njoo karibu nikutambazie mamunju
sticky situation nikushikanishe some glue
nikiwa down low wanipandisha juu
narudi kwa lazizi hata nikivunjika guu
guu X2
she's my girl
my girl X 2
fat fat ass kama hippo
tam X 3 kama chipo
usiulize mbona we mboni kwenye jicho
hot X 3 kama jiko
twerk X3 kwenye wimbo
tam X 3 kama chipo
usiulize mbona we mboni kwenye jicho
hot X 3 kama jiko
she a ten ten pop it like its champagne (my girl)
make we tempted man i wanna make her main thing (my girl)
ana-anataka tu attention
baby you a peng ting
nikiwa nawe pata power kama ben ten
sema wanipenda mi niseme same thing yea
njoo karibu nikushow vile na come through
kwenye dancefloor nikuonyeshe some moves
nikiwa down low wanipandisha juu
narudi kwa lazizi hata nikivunjika guu
guu X2
njoo karibu nikushow vile na come through
kwenye dancefloor nikuonyeshe some moves
nikiwa down low wanipandisha juu
narudi kwa lazizi hata nikivunjika guu
guu X2
My girl X 3
My girl X 3