TAMTAM (A na A) Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Hakuna siku itarudi kama ya leo (ya leo)
Sasa basi hatutakukuta jamvi mpaka kesho (mpaka kesho)
njoo tucheze burudani (it's okay)
tule tusaze biriyani ( kesho)
wageni wale kina nani (it's okay)
cheza pamoja nami (shoke)
njoo tupate burudani (kesho)
tule tusaze biriyani ( mpaka kesho)
eeeeeyyyyyyy yeah
todo par la familia
si siri mwana yuko ndani
mola katujalia
zawadi tayari ya thamani
sote tujumuike tucheze lipala
ushikwapo shikamana si wengi utapata wanapendana
kwa hivyo ukishanikamata nibane
mpaka usiku wa manane eeeeh
ewala ya habib
tam tam kolea penzi limeshanogea
harusi mzofafa jongea
we mpendwa sasa sogea
tam tam kolea penzi limeshanogea
harusi mzofafa jongea
bendover sasa sogea
Eh eh A na A
it's okay eh tupendane ye eeh
Eh eh A na A
it's okay eh tupendane ye eeh
ukitaka kwenda far songa na mwenzako
bega kwa bega kwa shida na raha
hata ukiwa mteja mnashikana radar ah
twende sko kwa bako
peleka na rieng mukue savva bien
ni mawasiliano ohhh
basi
njoo tucheze burudani
tusemezane mambo flani
wageni wale kina nani
cheza pamoja nami
njoo tucheze burudani
tusemezane mambo flani
shuhudia wewe nami
cheza pamoja nami
tam tam kolea penzi limeshanogea
harusi mzofafa jongea
we mpendwa sasa sogea
tam tam kolea penzi limeshanogea
harusi mzofafa jongea
bendover sasa sogea