Nakupenda Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2024
Lyrics
Najiona niko peponi penzi lako mama linanpotosha
Majeraha sina moyoni daktari wangu umenponesha
Natapata raha mpaka sioni penzi ni upofu umenipotosha
Najiona bado nipo ndotoni jinsi penzi lako linavo nkoosha
Yani kama vile una una una unaizidisha punguza kidgo
na una una unawafunika watoto wakibongo
Oooh ma ex piga kule piga piga kule piga kule
Kaa mkao tule tupakue tupakule
Acha nitangaze leo wajue nakupenda nakupenda
Anywhere yu go nami nitakapo kwendaa nakupendaaa aaaaa
baby nakupenda nakupenda
mimi nakupenda nakupenda
baby nakupenda nakupenda
mimi nakupenda nakupenda
Huba langu lipo jikoni, mtoto we chumvi unankoleza
Penzi lako halina foleni, niko pekeangu na me nadeeka
Ya mitandao wala sioni, hayo ni ya nyuma yalishapiita
Nakua chizi kwako siioni, mapenz ni ufala umeshanteka