Nishike (feat. Liz temmy) Lyrics
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Verse (Triker)
Nishike hapa tung'atane
Nipake wese tukandane
Usinfanye punching tupigane
Nifanye rose tufanane
Mimi nawe tuwe saresare
Tupendane hadi tufanane
Haters wanataka tuisare
Mimi nawe mpaka tuzikane
Napenda ukinishikaaa
Na vile unavosakaata
Sio siri umejazikaaa
Kwenye baridi we ni hitaa (mmmh)
Napenda unavyo go down up
Napenda unavyo shake yo bum
Napenda unavyo play that drum
Napenda unavyo sing that rhyms
(Chorus)
Nishike nikushike mapenzi tuyateke wenye chuki zao tuwafyeke na ngome yetu tuijenge
Nishike nikushike mapenzi tuyateke wenye chuki zao tuwafyeke na ngome yetu tuijenge
(Verse) Liz temmy
Hawajui tu vile nakupendaga(weee)
Hawajui tu vile nakuwazaga (wee)
Hawajui tuu vile unavofanya (weei)
Hawajui tu raha nazopataa (weei)
Vile unanishikaa (aah)
Baridi na masikaa(mmmm)
Speed unakolezaa( eeh)
Me napata midadi (boy)
Vile unavyonieka utadhani mateka
Kweli umeniwezaa (eeh)
Vile unavyopeta, ulimi unateleza
Boy we ni player (eeeeh)
(Chorus)
Nishike nikushike(etuu)
mapenzi tuyateke(etuuu)
wenye chuki zao tuwafyeke(wafyeeeke) na ngome yetu tuijenge (letuuu)
Nishike nikushike(nikushike baee)
mapenzi tuyateke(eeeeeeh)
wenye chuki zao tuwafyeke(ooooh)
na ngome yetu tuijenge
Napenda unvyo mmmm(aaaa)
Mmmm (aaaaaaa)
Mmmm (aaaaa)
Mmmmm ( baiby eeeii eh)
Napenda unavyo mmmm (aaaahh)
Mmmm (aaah)
Mmmm (aaaah)
Mmmm (i like it i like it )
WE TRUST THE PROCESS BABY