![Uongo Na Umbea ft. Barakah The Prince](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/6D/01/rBEeNFqvi2eAauK8AADQ9qMOYeI925.jpg)
Uongo Na Umbea ft. Barakah The Prince Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Uongo Na Umbea ft. Barakah The Prince - OMG Tanzania
...
verse 1
aaanh..tangu naanza kua nijijue
so nikaanza jiepushe na umbea
na jopo la washikaji waliozingua/kisa
tu walinijua so nikaona maisha sio fea/
kuna kimbizana na mista on air/
huku napambana walishaniotea/
sa wengi wanachana vyamana/
tofauti sana na jana kipindi nafanya
pana alikompea aaaanh nah/
navile washkaji sio msafi nipo solo/
na gari sina mwendo kasi nipo dolo/
ndomana 'ta wabenz wagari hawanifollow/ona kasolo/
u gotta knw whats like/
mi nataka ukalipie pia story hizi/
nandika mavitu yanatoka kichwani
sio ya wizi/afu sina muda maana kila siku nipo bizz/siwez hata kulala nyumban mama ananiona chizi/
mshua ndo ananiona popo giza/
main chick mala ooh utaniliza/
napiga chops kama local pizza/
wananiumiza cheeeear
(chorus)...baraka
hatucheki na wewe kwasababu ya uongo na umbea
haturuki na wewe kwasababu ya uongo na umbea
kwasababu moja tu ya uongo na umbea
ya uongo na umbea x3
uongo na umbea umbea x5
(verse...2)
nikichomoka maskani/najiona nipo vitani/unaweza kuona ni utani/
maana hata vita ni fani/tangu tunaenda
kwaburn zile cd tunaburn/afu tunarudi nyumban/hakuna cd player....
leo nimetoka/nigga nataka play fear/
how fear/shopping zangu ni mayfea/
nikishutuka chai zangu protea/
niko na machizi wa please I don't care/
shit..nambona tukuoa now u broke nowdayz
lemmi nigga whatchu knw bout gamez/
try'na overtaken emceez/kila verse
now ur rapp is crazzy/wao wanaona am faking/mimi nimejiona ama straighting/
wakiongea sina habar /siwaskii coz najua
nibusara am rapping.....
(chorus) repeat