High (feat. Kentro & Rich Tz) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Chorus (Kentro)
Baby your the one wallah
Everytime unanifanyia nifurahi
Hili penzi limenipeleka High
Nacho Amini mimi na wewe Till I die
Baby Girl your the one wallah
Everytime unanifanyia nifurahi
Hili penzi limenipeleka High
Nacho Amini mimi na wewe Till I die
Oh you drive me crazy, everytime my baby
Your my baby,Yan know baby ×2
Verce one (Kb Smaller)
Washajua tutafika mbali na kwl itakuwa,
Kwetu kila hatua Dua,
Tunavyo kuwa ni kama mbuyu kutoka mdgo ka mchicha ukakua,
Pini inaendana na pua,
Macho ya kimiss lembua,
Mtoto wa kishua,unavyo waua
Ni kama vita unawalipua,pua,pua
Na bado watatambua,
Kiuno chako dozi unaniponya ukinengua,
Ulibandika nabandua na ukipika napakua,
Unawatega kitendawili ukiwapa hawawez kutegua Ma'ana,
Body lako linalipa,jicho lako linaniita,
Kabla ya kukuacha jogoo kashawika,
Geto panamechi patashika nguo kuchanika
Nani kafanya Niwe Napenda Kama sio ww
Ukiniacha Nitakuwa chizi plz nielewe,
Umefanya mpk nasizi,Chanzo ni wewe,
Pumzi yangu ni wewe,
WeWe ni upendo,Upendo ni wewe,
Chorus (Kentro)
Baby your the one wallah
Everytime unanifanyia nifurahi
Hili penzi limenipeleka High
Nacho Amini mimi na wewe Till I die
Baby Girl your the one wallah
Everytime unanifanyia nifurahi
Hili penzi limenipeleka High
Nacho Amini mimi na wewe Till I die
Oh you drive me crazy, everytime my baby
Your my baby,Yan know baby ×2
Verce two (kb Smaller)
Am keeping bby my First,
Iwe look good we are Blassed,
I am trying my level best,
Nikikosa nije Confess,
Naamin Tu,hata ka hupo chini utakuw juu,
Wanao kutemea tpu, achana nao just love me en I'll love yo too
But Paranoid, I know some niggas wanna see me gone,
Hawatak future yetu ifike ukingoni,
Ndo Mashem ila wanakutaka kingono,
(That is shame)
Khook (Rich Tz)
She got love, told me atatukiea ndani she is so funny (baby) ×2
Usije ukapaa kama njiwa ah ah aaa
Usije ukapaa kama njiwa ah ah aaa
Usije ukapaa kama njiwa ah ah aaa
I love you Mama ah ah aaaa
Chorus (Kentro)
Baby your the one wallah
Everytime unanifanyia nifurahi
Hili penzi limenipeleka High
Nacho Amini mimi na wewe Till I die
Baby Girl your the one wallah
Everytime unanifanyia nifurahi
Hili penzi limenipeleka High
Nacho Amini mimi na wewe Till I die
Oh you drive me crazy, everytime my baby
Your my baby,Yan know baby ×2
Autro (Rich Tz)
She got love, told me atatukiea ndani she is so funny (baby) ×2