INSTALMENT ONE Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeah Yeah it's Camel Camel
anh!
Tulipo toka Dhiki Mtiti, (yeah!)
Now street no cap no kiki, (yeah,)
Bila Doo na Ina pita wiki,
Hustling tough ila usiombe mkeka utick,
Pisi Zika Tu bluetick, (yeah!)
Shida zetu Zika let them shiting, (yeah!)
Is about time droping flow,
making Doo, mana shida Haziesabiki, (haziesabiki)
Hatu deal na snitches, (yeah!)
Here Gang Gang tuna treat ma bitches, (Ma bitches)
Mood Go' crazy, (yeah!)
Dj play my track don't Skip it (skip it)
Maisha na Mziki, (yeah!)
Tuna Go on Top,Bila bifu bila kiki,
Kitu Tamu kama pipi,Inafanya pisi Kali zinagongw* kila wiki,
Oy Me sibohi, nikiweka moto me sipoi,
Moshi una pita ila sikohoi,
Wana wanawanga nisitoboe,
But God ana bless Sina stress wote Wana achwa Hoi
Sharout to G & Mk my dawg,
Sharout to me & big Boi (Big Boi)
Hey Vitu vimepanda Bei,
Inatubid tusake pay,
Me ndo Mchaga Hela haipotei,
No matter what,Wana get the same
No matter what,Wana back in Game
No matter what,Wana jiita Gang
No matter what,No matter what
Yeah, anha
Nasikia sikuizi vitu havipo Tanga vipo pwani
Yeah, anha
Hivi Dada huwezi toakitu mpka upate kitu kwani
Yeah, anha
Nikutongoze ukubali arafu Uje sema ni utani,
Utakuw umenipanda kichwani.
Akili yangu ndani imejaa Smoke ma Ujani
Kuna vitu vinakata,kama Mziki napotaka niache akili inakataa
Kuna Time me nadata,
Mom Anasema nilizike na nitachokipata,
Arafu nitachokipata ndio Nafunga na kusali nihitoe sadaka,
Kuna demu ni Mtata,ana doh ana BIMA na Moyo wangu anataka,
Yeah Things stop me
Nikianza ku play Things stop me
Nikiwa na Hela Na shida Hazikomi (yeah)
Naumwa Maleria naugulia kichomi (yeah)
Everyday Things Stop me
Niki fall in love Things Stop me
Napenda naachwa lakini sikomi"
Napendwa naachwa lakin sikomi"
ukiwa na shida shetani anajua,
Atakushawishi usipige hata Dua,
Atakupa unachokitaka kwa kuwa,
Baada ya mda ata kuchukua,
Uongo ni Uongo,na ukwel huwezi kuwa uongo,
Mganga ana njia za uongo uongo,
Njoo kwa God hakuna gumu juu ya Udongo,
Frefro Music