Patanisho ft. Davie Karr Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Barafu baridi
Barafu baridi, kunifanya hivo
Barafu baridi, kunifanya hivo
Basi tuizidi kuzidi patanisho
Tuzidi kuzidi, mpaka mwisho
Niaje ni kama moyoni nishakufa mama?
Tabia hizi huoni, nakushangaa
Siku za usoni zimeshafika
Mizigo zako nashinda nikivuta sana
Kwani mi ni punda mama?
But she's a licensed killa
Nicest figure
My head gets bigger when I get with her
I'm kinda like a mic and she's the nicest singer
And she just want a man in a benz or a beemer
But she's a licensed killa
Nicest figure
My head gets bigger when I get with her
I'm kinda like a mic and she's the nicest singer
And she just want a man in a benz or a beemer
Barafu baridi, kunifanya hivo
Barafu baridi, kunifanya hivo
Basi tuizidi kuzidi patanisho
Tuzidi kuzidi, mpaka mwisho
Usizue panty ziki drop na haupandishi
Usinivutie when I'm gone for the weekend
Huwa lucky summer wakiniona hio season
Mahusiano jo, haifai kuwa prison
Kama si teei singekuambia sorry
Ka si maboys, mi singewachapia story
Heri ningejua, singewai kuwa na pupa
Ya kukununulia machupa ukidunda
Sema Ngwee, ucheki nikikusahau
Utaruka fence, ruka gate, pia utavunja hao
Moshi yako mi sidai hata upige nduru
Unajiona mauru na hujui
Leta ngori juu ulinicheki na kuku mbichi
We si karao na ulipea wote utumishi?
Ujuaji haini'worry, niko ridhu
Hapa hutapata patanisho
Barafu baridi, kunifanya hivo
Barafu baridi, kunifanya hivo
Basi tuizidi kuzidi patanisho
Tuzidi kuzidi, mpaka mwisho
Uu Yeah
Barafu baridi
Barafu baridi, kunfanya hivyo
Basi tuzidi, tuzidi
Tuzidi tukizidi
Yeah yeah yeah yeeah, yeeah yeah
Ohoouoh
Yeah
Tuzidi tukizidi mpatanisho
Tuzidi tukizidi patanisho
Oh woh woh woh ooh woh