Number Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
You you you you you
You you you you you you you
You you you you you
Nipe number
You you you you you you you
Nipe na na na na na na na
Nipe number, Nipe number
Nitakupigia
Na kanjeve kakizidi, niko easy
Nitakupitia
Nipe number, Nipe number
Nitakupigia
Na kanjeve kakizidi, niko easy
Nitakupitia
Mrembo kaumbika, sura na kafigure
Mtoto wa Kiafrika, wanipa motisha
Kila mara ukipita, shingo zinapindua
Jeshi inapagawa, sifa zinaku shower
Ndo maana unaringa
Leo ni leo
Nishapima, siwezi hata, nimekupata
Nishike mkono
Najua pia nimekuchanga, sitakuacha
Hands on your body, dance with somebody
You need some good love in your body
And I'm that somebody
Nipe number, Nipe number
Nitakupigia
Na kanjeve kakizidi, niko easy
Nitakupitia
Nipe number, Nipe number
Nitakupigia
Na kanjeve kakizidi, niko easy
Nitakupitia
Niko hapa nakungoja, usipige kelele
Utaamsha wengine, toka tusichelewe
Shuka, nakungoja mi sitaki mwingine
Si tudunde pengine? Twende wapi? (kengeles)
Na tudensi kidogo
Tumwage kajasho
Tusonge mdogo
Huu wimbo ni wako
Girl I wanna rock all night, rock all night
And you know I wanna treat you right, treat you right
Nipe number, Nipe number
Nitakupigia
Na kanjeve kakizidi, niko easy
Nitakupitia
Nipe number, Nipe number
Nitakupigia
Na kanjeve kakizidi, niko easy
Nitakupitia
Na na na na na na na na na number
Nipe na na na na na na na na na number