Nyumbani (feat. Liberatha & Dorcas) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
VERSE 1 (Hobson)
Hapatakuwa na mtu wa kusimama mbele yangu,
Kama ilivyo Kwa MUSA atafanya kwangu,
na sitaogopa Kwa maana Yu karibu na Mimi,
Amenifuta machozi na kunitia nguvu
Hatanipungukia , Wala hatoniachaaa,
Pamoja na magumu haya ,
neno lake unipa farajaaa,
VERSE 2 (Liberatha)
Niko na picha tu,
a frozen piece of time,
to remind me of how it was,
when you where hear with me,
I see your smiling face,
each morning when I wake,
now days have dime into the night,
forever my love ,always my love,
uko ndani ya moyo wangu,
forever in my heart.
CHORUS (Dorcas)
Umerudi nyumbaniiii
Nyumbani Kwa baba
Nyumbaniiii
it's where you belong
Tutarudi Nyumbani Ii
Nyumbani Kwa babaaa
Nyumbani ii thats where we belong × 2