![In This Life ft. Masauti](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/21/7cb570ece33446739820e06cd5d1d993_464_464.jpg)
In This Life ft. Masauti Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
In This Life ft. Masauti - Dogo Richie
...
Don't ever care what people say, just do what you do.
It's amadow on the beat!
Oyaayaya, mmmh Dogo Richie, eehe, Masautiii,
Naishi n'navyotaka, pole ka inakukera,
Ndio maisha n'nayotaka, niacheni nilivyo.
Msinifosi kula bata, kwa mda wee unaotaka
I'm sorry hutonipata, usinipeleke hivyoo.
Wa kusema wata(semaa) , ninavyoishi sio wote wanao(pendaa) .
Namshukuru Mola mpaka sasa mi na (hemaa) , Sijakosea (lolote) , sijemkosea (yeyote)
Iyeehe
In this life, ukiwa nazo watakupenda sana,
In this life, ukiwa huna watakusemaga sana
And this life, Siri yake kujipenda sana.
In this life, eehe, usijinyime raha,
In this life, ukiwa nazo watakupenda sana
In this life, ukiwa huna watakusemaga sana
And this life, siri yake kujipenda sana
In this life, eehe, usijinyime raha.
!! Instrumentals!!
Kenyan Boy 001,
Alright,
Mbona nijinyime raha, na maisha yangu mwenyewee.
nafanya nnachofanya, nimeridhia msinipimiee.
Kwenye mishe mishe zangu, mbona unichunguze
Mwogope sana binadamu, yule unayemdhania ndiye kumbe siye,
Oooh,
Kuna watu na viaatu, Oooh, wasiotaka ufanikiwe hao, ooh
Wee jitenge na *shida *zao si watu haoo,
Si watu haoo.
( In this life, ukiwa nazo watakupenda sana,
In this life, ukiwa huna watakusemaga sana
And this life, siri yake kujipenda sana
In this life, Ehee, usijinyime raha) X2
Instrumentals
(Don't ever care what people say, just do what you do, what people say just do what you do) X2
Instrumentals
The End