![Bin Laden](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/30/1334988d0b4241b1872be7d8a88b9237.jpg)
Bin Laden Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Bin Laden - Dogo Richie
...
Dallas Records
(pukuchu pakacha kinauchu we ndo mtuchu zigizigi kinauch Alfa mtuchu roho ngumu kama jiwe pakachikucho pakachakachiketao) Yagayaga yoooyoyoyoh! Woowowo wowowoowoh! Bin Laden.
Sometimes no, sometimes yes sijahgive up.Napambana japo mimi sija-get siwezi fake life.
Asanteni sana Ma-haters kwa kuniweka mimi juu.I don't give up,firm mi go make try, hapa kwangu ushindi tu.Nikitaka mziki kuacha MED ananiambia mi nikaze tu, ipo siku nitawanasa,,,Ahae!
Wanakuja na kuchapa,BinLaden niko pale tu.Asante mnao nipa Love,(hao wote,,,Ahae!)
Follow, follow mna-hate na bado mnani-follow follow. Sishindani one man solo solo, penzi liko holo holo.
Bodaboda kaa masaa,tupambane.Mama mbonga kazana, tupambane.Wauni wangu wa Kita aiyaaaa... Blessing Jah Jah! Mnawakilisha ghetto.
Sasa kote wananiita,BinLaden. Downtown mpaka Ghetto,BinLaden. Heshima wananipa,BinLaden(Oya!)BinLaden(sema) BinLaden. Mitaani wananiita,BinLaden. Downtown paka Ghetto,BinLaden. Heshima wananipa,BinLaden(Oya!) BinLaden(sema) BinLaden.
(pukuchu pakacha kinauch,maake mtuchu zigizigi kinauch alfa mtuchu roho ngumu kama jiwe pakachikuchu pakachakachiketao,Aaah Yesa,Yesaya!
EMD Mega.
BinLaden,Laden.
Mwendo mnyetomnyeto pige moves,yaani kihcommando mi na-move.One in a million real king,call mi Mayweather in busy screen.Ukitaka ma flavour could reclaim, ninapokanyaga tunaacha alama, wa moto wa moto.
Ukija kwetu tunawasha moto,(moto,fire fire fire fire )
Wanasikia vibaya wakiniona wanagwaya.(Higher higher higher higher higher )
Wakituona wanagwaya,tunawapa more fire,fire fire.
Follow follow, mna-hate bado mnani-follow follow, sishindani one man solo solo.Penzi liko holo holo.
Bodaboda kaa masaa, tupambane.
Mama mboga kazana, tupambane.
Wauni wangu wa kitaa aiyaaa, tupambane.
Blessing Jah Jah, mnawakilisha ghetto.
Sasa kote wananiita,BinLaden
Downtown paka Ghetto, BinLaden
Heshima wananipa, BinLaden (Oya) BinLaden (sema) BinLaden
Mitaani wananiita,BinLaden
Downtown paka Ghetto, BinLaden
Heshima wananipa,BinLaden (Oya) BinLaden (sema) BinLaden
pukuchu pakacha kinauch
we ndo mutuchu zigizigi (hao wote) kinauch.
Alfa mtuchu roho ngumu kama jiwe, pakachikuchu pakachakachiketao, Aaah Yesa Yesaya
Jeshi langu zecryn, tupambane
Aluta bado mapambano, tupambane
Kupandisha nembo na agano, tupambane (ayayayayaaah) bless Jah Jah,Mnawakilisha ghetto
BinLaden power
Tukikanyaga tunaacha alama
Mzee babaz, vicheche.Eehee.