Upepo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
YAMMI - UPEPO Lyrics
INTRO
haaaaaa aaah haaaaa
haaaaaa aaah haaaaa
haaaaaa aaah haaaaa
Mr LG
Verse 1:
Am feel happy pale tu mi ninapokuwa na wewe,
Sitaki Hii safari niondoke mwenyewe
We ndo ntakuuliza when I see no way ,
Even in the dark torch utamulika maradi nisipoteee
Kama mbalamwezi ikiangaza daily
Acha Mimi na we tupendane baibee
Bridge:
Acha niwambie hii story ,Toka day one nilivyo falling
Siku haiwezi bila calling Usiku mzima si twapiga story,
Nikaanza feel real love, nafsi zikakutana bila hata kulaaa,
Sisi tukashibanaaaaa………………..
Chorus:
Na penzi letu lina Vuma vuu, Kama upepo Kama upepo
Kama upe Mmh Kama upepoooo, Kama upepoooo aaah aaah
Instrumental Playing
Verse 2:
What What what this love, aah Ah found this guy, the one kiss me
Better than any one, Sa sah why nimkinai, sioni nachonyimwaaa
Hata mseme nini si atuachani………………
Bridge:
Acha niwambie hii story ,Toka day one nilivyo falling
Siku haiwezi bila calling Usiku mzima si twapiga story,
Nikaanza feel real love, nafsi zikakutana bila hata kulaaa,
Sisi tukashibanaaaaa………………..
Chorus:
Na penzi letu lina Vuma vuu, Kama Upepo Kama upepo
Kama upe Mmh Kama upepoooo, Kama upepoooo,
Na penzi letu lina Vuma vuu, Kama Upepo Kama upepo
Kama upe Mmh Kama upepoooo, Kama upepoooo
Lina Vuma vuu………...
Outro
Kama upepoooo, Kama upepoooo ooh Ooooh
Haaaaa aaah aaaaah aaaah, Haaaaaaah aaaaah
Haaaaa aaah aaaaah, Haaa aaah Linavuma kama Upepo….
THE END
©2023 The African Princess Label.All Rights Reserved.