Ramadan Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Ramadan - Yammi
...
Aaah aaahaa.
Mmh mmh mmh.
Aaaahaaa.
Ramadan Ramadan
Tufungeni Ramadan
Ramadan Ramadan
Tiba njema Ramadan
Tufungeni Ramadan
Tiba njema Ramadan
Ramadan mwezi mwema.
Nguzo ya nne ya dini.
Walifunga waja wema.
Waliopita duniani.
Ramadan mwezi mwema.
Nguzo ya nne ya dini.
Walifunga waja wema.
Waliopita duniani.
Eeeh Ramadan.
Ramadan ni faravi.
Imefaravishwa toka zamani.
Wafunge wenye kukidhi.
Vigezo vyote vya dini.
Ramadan ni faravi.
Imefaravishwa tokea zamani.
Wafunge wenye kukidhi.
Vigezo vyote vya dini.