Hawaniwezi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
HAWANIWEZI LYRICS
Thanks God I’ve seen another day
And I’m too special
Ingawa sijaiona kesho
Yes for sure
I’m a big African Superstar
From Mtwara see the boy go far
Plenty money baby see dem cars
Hazina pa kukaa
And I was born leader yani
Kwa kifupi nazijua shida
Kusimangwa kutukanwa kwangu
Kawaida naona barida
They call me boss kama hutaki siku-force
I love the way you love me
Coz am a big fan of me
Nisamehe kama nakukera
Ila kitaa ndo kimenipa bendera
Narusha masela mpaka walo jela
Of course Of course Of course
Konde Boy I am a soldier
Na sina time ya kungoja
They call me Tanzania one namba moja
Na kama ukibisha bisha kwa hoja
Yeeeeh
Hawaniwezi Hawaniweee
Hawaniwezi Hawaniweee
Hawaniwezi nimeshindikana hawaniwezi
Hawaniwezi Hawaniweee
Hawaniwezi Hawaniweee
Hawaniwezi nimenyongorota hawaniwezi
YawYaw
There is no price you can buy my life
That’s how I know I’m richer than anybody
Me I fear nobody
I’m stronger boy akizingua namgonga
Mi nabadilika ka kinyonga
Huwezi amini ndo kinyago walichochonga
Wanatia sumu kuniharibia
Mi nakula ndumu nafikiria
Kutimiza majukumu ya familia
Kuiduhumia
Imma universal connected
Yes no one expected
To your girls am the most nigga wanted
And i'm certain
Taratibu usije ukaniiga
Kama ligi hii la liga
So my life mi stak niga
Huwezi kula anapokula twiga
How far away
Hawaniwezi Hawaniweee
Hawaniwezi Hawaniweee
Hawaniwezi nimeshindikana hawaniwezi
Hawaniwezi Hawaniweee
Hawaniwezi Hawaniweee
Hawaniwezi nimenyongorota hawaniwezi